if statement Katika PhP

Video is ready, Click Here to View ×


Unaitumia If Statement katika program yako paleunapokuwa na maswali kuwa ,kama nikifanya hivi nini kitatokea? mfano kama niki bonyeza button ya log in nini kitatokea?
Karibu katika video hii uweze kuona namna ya kutumia if statement katika program yako.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.